a
Zek 2:1-2
;
8:3
;
Ay 38:5
;
Isa 12:1
Zechariah 1:16
16
a
“Kwa hiyo, hivi ndivyo asemavyo
Bwana
: ‘Nitairudia Yerusalemu kwa rehema na huko nyumba yangu itajengwa tena. Nayo kamba ya kupimia itanyooshwa Yerusalemu,’ asema
Bwana
Mwenye Nguvu Zote.
Copyright information for
SwhNEN